Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. libeneke la michuzi ndio lenyewe kwa uhakika wa taarifa wengine photocopy mdau wa ughaibuni

    ReplyDelete
  2. brother, when you are number one in the market. you dont need to remind us.

    ReplyDelete
  3. Hongera sasa!!

    Kuhusu taarifa za kiserikali ni aibu kwa Ikulu na vyombo vingine vya habari na maelezo serikalini. Habari moto isipokuwepo kwako basi hatutajua kitu. Waandishi wao wamelala usingizi na website zao ndio zimesinzia pia.

    Usinibanie point yangu na usiwaogope. Nakuheshimu kwa hili.

    Msomaji wa Michuzi Blog kila siku

    ReplyDelete
  4. Michuzi is indeed the leading Blogger in Tanzania. I always click michuzi in the morning before I go to any other nesline! I can name many instances that news items from Michuzi helped me in my work. Need I say more? Bravo Michuzi.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Mr. Mithupu, mimi naikubali sana blog yako. Yaani ipo up-to-date kuliko chombo chochote cha habari Tanzania. Story ikitokea leo saa 4 asubuhi, saa 6 mchana tu ipo ktk blog yako wakati vyombo vya habari ni hadi saa 1 au 2 usiku wakati wa taarifa ya habari au kesho yake magazetini. BIG UP BROTHER AND KEEP UP THE GOOD WORK! Ipyana, DSM

    ReplyDelete
  6. kweli kaka issa website yako ni number one-kazi yako ni kubwa kuliko mitandao yote. Hongera sana ana na libeneke liendelee mbelee....

    ReplyDelete
  7. Congratulations Brother Michuzi!

    Sio kwamba tulikuwa tunatilia shaka umaarufu wa Blog yako, lakini pia inapendeza kusikia jinsi inavyotambulika kwa nguvu.

    Ubarikiwe sana kwa kazi yako nzuri!
    Mdau wa Masaki.

    ReplyDelete
  8. Congrats Issa and keep it up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...