Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,John Haule akifungua mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo yaliyoandaliwa na chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,John Haule aliongea jambo na Balozi Dk. Mohammed Maundi (kushoto) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia (kushoto) na Mwenyekiti wa bodi ya chuo hicho Balozi Charles Sanga (kulia) mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa wa Serikali yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo ni maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo.
Baadhi ya wakufunzi wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John Haule (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo ambao ni washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Nkinda - Maelezo.
We congratulate you all and we do hope that you will represent our country in her best interest. As per political representation the foundation has been laid out by your predecessors and it's just a matter of picking off where they left from. But emphasis should be on economic representation. How do we best market the best of our country and not just seat and hope Mt.Kilimanjaro and its snow capped top will market itself. Nor should others view our beloved country as a place to plunder its resource, but a place where they can attain profitable returns by investing on sound business that will benefit Tanzanians apart from enriching their pockets. We maybe poor in terms of per capital income, but we should not be considered stupid. God bless our beloved nation Tanzania and may God guide you all for the benefits of our future and our country.
ReplyDeleteHongera mkuu wa chuo Mungu akujalie afya njema na maisha marefu katika utumishi wa umma.
ReplyDelete