Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongeza na wageni wake kutoka Finland waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Kulia kwa Mama Kikwete ni Profesa  Marja- Liisa Swantz,Mtafiti katika Manispaa ya Hartola, Finland na wanaofuata ni Bi.Maya   Lusa Mamia na Bi. Maritta Virtanen,ambao pia ni madiwani katika manispaa hiyo ya Hartola. Kulia ni Katibu Mtendaji wa WAMA Bw. Daudi Nasib 
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na  wageni wake kutoka Finland waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. Kulia kwa Mama Kikwete ni Profesa  Marja- Liisa Swantz,Mtafiti katika Manispaa ya Hartola, Finland na wanaofuata ni Bi.Maya   Lusa Mamia na Bi. Maritta Virtanen,ambao  ni madiwani katika manispaa hiyo ya Hartola. Kulia ni Katibu Mtendaji wa WAMA Bw. Daudi Nasib. Manispaa hiyo ya Hartola ina mahusiano wa masuala ya  maendeleo na mji wa Manyoni 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na wageni wake.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...