fomu ya washindi
Hali ya upigaji kura
Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama akimshika Dk. Dalaly Kafumu wakati matokeo takitangazwa.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane akitangaza matokeo
Dk. kafumu akipongezwa na mke wake, Maria Magdalena Kafumu. Huku shangwe na Nderemo zikitawala toka kwa wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.
Dk. Kafumu akibebwa baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga
Msimamizi wa uchaguzi Protace Magayane akimpongeza Dk. Dalaly Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge wa Jimbo hilo.
Dk Kafumu akionyesha cheti chake cha ushindi
Baadhi ya viongozi wa CCM wakishangilia baada ya Dk. Kafumu kutangazwa mshindi. Watatu ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma
Dk. Dalaly akisaini matokeo.Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane.
CUF tumepata kura 2104. Tumepitwa kwa kura 21154 na mshindi wa pili. CHADEMA kapitwa kwa kura 3224 na CCM. Duh mambo mangumu Bara. Nafikiri ilikuondoa matatizo iundwe serikali ya mseto kama Zanzibar baina ya CCM na CHADEMA!!!!
ReplyDeletehatuwezi kukubali serikali ya mseto kwani huko ni sawa na kukubali kukaa meza moja na CCM kuitafuna nchi kwani nchi hii inahitaji SERIOUS REFORMS ktk sekta zote kwani we are spending too much money on things which do not have any impact on majority of Tanzanians.
ReplyDeleteI am very sceptical with the results, how come there were 171,000 people registered but only 53,000 (representing less than 1 third)turned up to cast there votes ? Investigation must be conducted to established causes of low turn up, was there any kind of intimidation, or may be some votes were not included/discarded.
ReplyDeleteMy conclusion is, the turn up figure does not represent the true voter choice
For all I know, Tanzanians are very lax people. The few who voted were coerced or had much interest materially but not political or social interest. Iam of the feeling that about 10% lost their cards negligently,10% mortgaged, 10% were away from Igunga, 10%reluctant and passive another % scared by chademas belligerence and ....... (you add the rest). I think even the past general election had a similar scenario with similar reasons.
ReplyDeleteWanaigunga kama ndio uamuzi wenu sawa, lakini huyo jamaa alianza kuwadanganya hata kabla hamjampa huo ubunge, sasa mnategemea nini hapo baadae.
ReplyDeleteMtavuna mlichopanda.
Hivi kwanini watanzania hampendi ukweli?
ReplyDeleteChakubanga your skeptics comes from no where if voters cannot understand the importance of their voting rights including keeping safe their IDs. this applies all over the world. This seems to me that opposition members are not serious in their doings... they are just very serious in talking. and for your own information, CCM will rule ever, if you end up talking without deeds!
I may conclude by saying CCM supporters, this time again they were more keen to what they were supposed to do compared to opposition supporters. And may be this time again, CHADEMA should rather consider joining arms with other opposition parties. looking at the results, if you were together as one opposition party, CCM could have gone (just do simple math on results). otherwise expect another downfall of political party just like what happened to CUF... "Asiyekubali kushindwa si mshindani..." Cheers