Home
Unlabelled
man u kaeni mkao wa kulizwa kesho...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani nyie mnamtegemea Suarez tu!!! sisi hatuna Fist 11 yeyote tu anaweza kuanza. Nyie jaribuni kuwaweka benchi hao kina Caragher, suarez C,Adam muone kasheshe letu hamtuwezi!!!!!!!!!!!!!!! lakini nyie hatutawapiga nane kama wenzenu "mbili za mkwezi" zinawatosha.
ReplyDeleteKwa mwendo huu soka la TZ halitafika mbali. Tunapenda sana vya wenzetu!
ReplyDeleteshhhhhhhhhhhhhhhhhhh....uuuut up... subiri chamoto kesho you'll never w'k home alone!!!!
ReplyDeleteKwa mwendo huu Taifa Stars haifiki mbali. Tunapendelea kushabikia vitu vya wenzetu tu!
ReplyDeleteBora tushabikie vya wenzetu tu bongo presha tupu..wabongo wao ni mahodari wa kutongoza tu ndio maana michezo yote sisi ni kwenye vyombo vya habari tu kwenye pitch nil.Nchi haina icon yoyote ya michezo ya kujivunia Riadha,ubondia,mpira,netball,voleyball,basketball,betball zote hatuwezi, labda tongozaball tutakuwa namba 1.
ReplyDeleteBora kushabikia Liverpool sasa huku bongo faida iko wapi..... longolongo nyingi kwenye magazeti ukija uwanjani bila bila...
ReplyDeleteHivi utashabikia timu zina zaidi ya miaka 60 hazina viwanja vyake leo tunaenda kupiga goti Azam kuchezea chamanzi?????? AIBU KWELI AIII