Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Yaani nyie mnamtegemea Suarez tu!!! sisi hatuna Fist 11 yeyote tu anaweza kuanza. Nyie jaribuni kuwaweka benchi hao kina Caragher, suarez C,Adam muone kasheshe letu hamtuwezi!!!!!!!!!!!!!!! lakini nyie hatutawapiga nane kama wenzenu "mbili za mkwezi" zinawatosha.

    ReplyDelete
  2. Kwa mwendo huu soka la TZ halitafika mbali. Tunapenda sana vya wenzetu!

    ReplyDelete
  3. shhhhhhhhhhhhhhhhhhh....uuuut up... subiri chamoto kesho you'll never w'k home alone!!!!

    ReplyDelete
  4. Kwa mwendo huu Taifa Stars haifiki mbali. Tunapendelea kushabikia vitu vya wenzetu tu!

    ReplyDelete
  5. Bora tushabikie vya wenzetu tu bongo presha tupu..wabongo wao ni mahodari wa kutongoza tu ndio maana michezo yote sisi ni kwenye vyombo vya habari tu kwenye pitch nil.Nchi haina icon yoyote ya michezo ya kujivunia Riadha,ubondia,mpira,netball,voleyball,basketball,betball zote hatuwezi, labda tongozaball tutakuwa namba 1.

    ReplyDelete
  6. Bora kushabikia Liverpool sasa huku bongo faida iko wapi..... longolongo nyingi kwenye magazeti ukija uwanjani bila bila...

    Hivi utashabikia timu zina zaidi ya miaka 60 hazina viwanja vyake leo tunaenda kupiga goti Azam kuchezea chamanzi?????? AIBU KWELI AIII

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...