Baadhi ya wahitimu katika mahafali ya 23 ya chuo cha sanaa cha Bagamoyo (TaSuba) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Emmanuel Nchimbi
Mdau Heri Nyangassa akiwa na Rafiki yake Gerald baada ya kutunukiwa vyeti katika mahafali ya 23 ya chuo cha sanaa Bagamoyo (TaSuba) wikiendi iliyopita. Alitunukiwa baada ya kumaliza stashahada (Diploma) ya Sanaa za maonyesho ya jukwaani.
Mdau Heri akifurahia jambo na aliekuwa Rais wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo Timothy Chelula. Kushoto na kulia ni dada zake Mwani na Rehema Nyangassa ambao walijumuika pamoja nae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...