Mhe. Harrison Mwakyembe (Mb), Naibu Waziri wa Ujenzi alipojumuika pamoja na Watanzania wanaoendelea na matibabu katika hospitali ya Apollo Chennai, India. Nyuma ya Mhe. Waziri ni Mwambata wa Afya katika Ubalozi wetu nchini India, Dr. Kheri O. Goloka na Mama Mwakyembe na wengine ni madaktari na wauguzi wa hospitali hiyo.
Home
Unlabelled
MHE. MWAKYEMBE AJUMUIKA NA WATANZANIA WANAOENDELEA NA MATIBAU KATIKA HOSPITALI YA APOLLO CHENNAI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mwandosya mbona simuoni au Mwenyezi Mungu kamjaalia kapona!
ReplyDeletePole sana mheshimiwa, tunakuombea upone haraka maana gepu uliloliacha katika ujumla wa uongozi hadi sasa ni kubwa mno.
ReplyDelete