Kutoka kushoto ni marehemu Habibu Halahala, Mzee Paul Sozigwa, Mwalimu, Mzee Hashim Mbita, Mzee Benjamin  Mkapa. Picha hii   ilipigwa mwaka 1985 siku 10 kabla ya kun'gatuka kwa Baba wa Taifa
Baba wa Taifa akiwa na mwandishi wake wa Habari, 
Marehemu Habibu Halahala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duuh Uncle Ben kumbe alikuwa fiti enzi hizo.

    ReplyDelete
  2. Sasa wanaosema Nyerere aliongoza serikali kwa mfumo kristo, mbona kila aliyekuwa karibu yake jina la Habibu, Hashimu hailikosekani? Tuwe wakweli watanzania.

    ReplyDelete
  3. Tusimdodose Mzee, Tumwache apumzike.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...