wadau toka sekta mbali mbali wanaohudhuria mkutano huo wa siku tatu ukumbi wa AICC jijini Arusha
Wakurugenzi Wakuu wastaafu David Mattaka (kulia) na Naftali Nsemwa wakisalimiwa na maofisa waandamizi wa PPF kabla ya kuanza kwa mkutano
Pamoja na maafisa waandamizi pia wakurugfenzi wa taasisi zingine wanahudhuria. Wa pili toka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Dar es salaam Community Bank Bw Mkwawa na bosi wa Posta
Maafisa toka EWURA pia wapo
Ukumbi wa mkutano ulivyo muda huuu
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akisoma hotuba yake ya ufunguzi
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF Dkt. Kassim Meja Kapalata akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
Sehemu ya wadau wa PPF mkutanoni.










Wanachama waruhusiwe kuhama mfuko mmoja kutoka mwingene! mie ningehama hata kesho kutoka PPF
ReplyDeleteTunataka uhuru wa kuchagua mifuko,pia mifuko itujali wanachama itupe 70% ya mafao pindi tunapostaafu na ibakie na 30% nje ya hapo kama wanavyofanya PPF SI SAHIHI, SISI NI WAFANYAKAZI LEO TUNASTAAFU KATIKA HALI HIO LAKINI MUNGU ATAHUKUMU MBELENI, KAMA PPF MMESHINDWA KWENYE HILO TUPATE UHURU WA KUCHAGUA MIFUKO MINGINE.
ReplyDelete