wadau toka sekta mbali mbali wanaohudhuria mkutano huo wa siku tatu ukumbi wa AICC jijini Arusha
 Wakurugenzi Wakuu wastaafu David Mattaka (kulia) na Naftali Nsemwa wakisalimiwa na maofisa waandamizi wa PPF kabla ya kuanza kwa mkutano
 Pamoja na maafisa waandamizi pia wakurugfenzi wa taasisi zingine wanahudhuria. Wa pili toka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Dar es salaam Community Bank Bw Mkwawa na bosi wa Posta
 Maafisa toka EWURA pia wapo
 Ukumbi wa mkutano ulivyo muda huuu
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akisoma hotuba yake ya ufunguzi
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF Dkt. Kassim Meja Kapalata akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
Sehemu ya wadau wa PPF mkutanoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mangi wa KiboshoOctober 19, 2011

    Wanachama waruhusiwe kuhama mfuko mmoja kutoka mwingene! mie ningehama hata kesho kutoka PPF

    ReplyDelete
  2. Tunataka uhuru wa kuchagua mifuko,pia mifuko itujali wanachama itupe 70% ya mafao pindi tunapostaafu na ibakie na 30% nje ya hapo kama wanavyofanya PPF SI SAHIHI, SISI NI WAFANYAKAZI LEO TUNASTAAFU KATIKA HALI HIO LAKINI MUNGU ATAHUKUMU MBELENI, KAMA PPF MMESHINDWA KWENYE HILO TUPATE UHURU WA KUCHAGUA MIFUKO MINGINE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...