Mkuu mpya wa mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu akisalimiana na watumishi wa ofisi yake mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza kuanza kazi ya kuongoza mkoa huo.Kulia kwake ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa Dtk Anselm Tarimo.
 Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi yake mpya mara baada ya kuripoti kuanza kazi ya kuongoza shughuli za serikali mkoani Ruvuma.Kushoto ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma ambaye sasa ameahamia mkoa wa Iringa.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma  Said Thabit  Mwambungu akipokea hati ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dkt Christine Gabriel Ishengoma tukio hilo lilifanyika leo na kushuhudiwa na wakuu wa sehemu na vitengo mbalimbali mkoani humo hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inakuwaje mtu unajiandikisha kwenye kitabu cha wageni katika ofisi yako mwenyewe?

    Ankal, iposti na hii ili tujifunze kutoka kwa wanaofahamu mambo haya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...