Mkuu wa mkoa Mbeya,Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho.
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende (aliesimama) akisoma taarifa ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya
Hili ni jengo la abiria ambalo likikamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa
Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja.Picha zote na: www.latestnewstz.blogspot.com.
MENEJA WA TAA MBEYA SIO mWALUTENDE, MWALUTENDE ALIHAMISHIWA TABORA, TAFUTENI JINA LA HUYO HAPO MBEYA
ReplyDeleteMzee Kandoro valia njuga uwanja uishe huo . Watu waache siasa za longolongo sasa!
ReplyDeleteHILO JENGO (TERMINAL) KWA KWELI HALINA HADHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA.
ReplyDeletewewe mtoa maoni unaosema hilo jengo halina hadhi ya kimataifa nani kakwambia huo uwanja wa ndege wa kimataifa?
ReplyDeletekiwanja cha kutua videge vya kuruka kwa uwezo wa upepo na sio kiwanja cha kuruka midege ya kutumia ingini za ukweli hahahaha
kakibanda kanasimamiwa na serikali ama kweli hali inatisha serikali inajenga kibanda kama hicho wakati viongozi wanatembelea magari ya mamilioni