Mpiga bezi wa Masondo Ngoma Jazz band akiwa kazini leo katika viwanja vya Leaders Club ambako Baba hawa wa Muziki nchini walifanya shoo kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wadhamini wa shoo hii ya bure walikuwa Tanzania Distilleries Ltd kupitia kilaji chao cha Konyagi
 Waimbaji wa Msondo Ngoma wakiwa jukwaani
 Jukwaa likishambuliwa vilivyo
 Wana Msondo Ngoma kazini
 Kiongozi wa Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo akitoa maelekezo kwa fundi mitambo
 Ankal akiwa na wajina wake Mzee Gurumo ambaye alikuwepo kuongoza kikosi
 Rapa Romanus Mng'ande 'Romario' (juu) akipozi na Mama Nzawisa na Omary Niachie Mimi
 Wana Msondo Ngoma wakipozi na 'Mjomba' Muhidin Maalim Gurumo
 Shaaban Dede akiongoza safu ya ushambuliaji
 Kaka Cisco Mtiro akijikuna anapofikia
Kaka Cisco Mtiro akimtuza mpiga kinanda Ridhiwani 'Totoo' 
Pangamawe baada ya kukunwa na Msondo Ngoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huwa nasema kila siku, hakuna mfano wa Msondo TZ.

    ReplyDelete
  2. jamani hilo jukwaa linaogopesha, mtu aweza anguka maana laonekana kama c imara.

    ReplyDelete
  3. Jamani huyo wajina wako ingefaa akaachana na mambo ya mziki sasa na akarudia mola..ni ushauri tu (qweman

    ReplyDelete
  4. seneta wa msondo-usaOctober 15, 2011

    kaka nimefurahi sana kuwaona ndugu zangu wa msondo wakiendeleza libeneke,nimekumbuka sana bonanza la msondo tcc club jioni ya leo..lakini ndio hivyo tena niko ughaibuni kama mkibizi wa kiuchumi,namuona eddo sanga ,mdogo wangu hassan tx moshi(dogo anazidi kufanana na babake tx kila anavyokuwa),juma katundu,kakangu dede,kamanda gurumo,ridhiwani,zahoro bangwe,roma,bila kumsahau omari niachie mimi....wape salamu sana.

    mdau us

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...