Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mwl. JKN ni kichwa sio mchezo...

    ReplyDelete
  2. Naona alipokewa kwa mbwembwe hiyo 1963 ili aweze kuingia kwenye kwenye siasa za Ubapari soon baada ya Uhuru..
    Alipowatosa kuingia kwenye Ukomonisti hadi leo tukapewa mgongo wakaanza kubebwa Kenya waliokubali sera zao.
    Thats why Kikwete hajawahi kupata gwaride kama hilo

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu umenikuna. That is true! But alikuwa kiboko wa wamarekani, jamani nani ana speeche zake za UNITED NATIONS??? or IMF??MEN he was a fighter! Tafadhali tunaziomba

    ReplyDelete
  4. Huyu ndo alikua rais kichwa,Mwl.Nyerere tunaku-miss mnooo.

    ReplyDelete
  5. Kiingereza safi!

    ReplyDelete
  6. Safi sana Mwalimu alijua kujieleza vyema mno sio blah blah tena kwa kiingereza cha hali ya juu, tofauti na wababaishaji wa siku hizi kiingereza cha maimuna tena kisicho na point yoyote ya maana.

    ReplyDelete
  7. Kiingereza anafunika. Kifikra kawazidi mbaaaaaaaliiii. uyu ndo baba yetu wa taifa. walivyompokea 1963 walikua wanamwogopa. leo hakuna anaepokelewa kama ivyo.

    RIP BABA.

    ReplyDelete
  8. mpenda uhuru.October 14, 2011

    Napenda niongozee machache tu.Nyerere alikua na vision ya baadae na nchi ikiwa na umoja na bila ya ubaguzi raia wake wanajitolea kuondeleza nchi pamoja kama alivyosema.....wenye asili and wazaliwa. Naishi marekani kwa sasa wenye asili hapa ni red indians, ambao ni kidogo sana. Kwa nchi yetu tumeanzisha migawano ya wananchi kwa manufaa ya wachache. Kuna wanasiasa wachache wanayachochea hayo, kwa manufaa binafsi wengine wakiwemo viongozi wa kidini. Wakionesha jamii kwamba kuna magabachori na walala hoi, and try to conviece ppl that the class is based on color of the skin.Wananchi inabidi waamke, wafuate siasa za Mzee Nyerere kwamba Tanzania ni ya wote watanzania. Kama hapa Marekani,Kumchagua rais mweusi tena baba yake ni mwafrika. Hata hapa ubaguzi upo lakini watu wengi especially waliokua serikalini wanafuata sheria na sio chuki zao binafsi. Ni maoni yangu binafsi.Naitakia nchi salama na amani.

    ReplyDelete
  9. we love u dad and still wished u were around, u'r deeply missed. May u'r soul rest in enternal peace until we meet again.

    ReplyDelete
  10. We Tanzanians we will keep unity and peace as well as to honour you Mwl, b'se you worked so hard for them. You also loved us all sooo much. You were the axe of the national.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...