Home
Unlabelled
Nyerere's Official Visit to the US in 1963
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwl. JKN ni kichwa sio mchezo...
ReplyDeleteNaona alipokewa kwa mbwembwe hiyo 1963 ili aweze kuingia kwenye kwenye siasa za Ubapari soon baada ya Uhuru..
ReplyDeleteAlipowatosa kuingia kwenye Ukomonisti hadi leo tukapewa mgongo wakaanza kubebwa Kenya waliokubali sera zao.
Thats why Kikwete hajawahi kupata gwaride kama hilo
Mdau hapo juu umenikuna. That is true! But alikuwa kiboko wa wamarekani, jamani nani ana speeche zake za UNITED NATIONS??? or IMF??MEN he was a fighter! Tafadhali tunaziomba
ReplyDeleteHuyu ndo alikua rais kichwa,Mwl.Nyerere tunaku-miss mnooo.
ReplyDeleteKiingereza safi!
ReplyDeleteSafi sana Mwalimu alijua kujieleza vyema mno sio blah blah tena kwa kiingereza cha hali ya juu, tofauti na wababaishaji wa siku hizi kiingereza cha maimuna tena kisicho na point yoyote ya maana.
ReplyDeleteKiingereza anafunika. Kifikra kawazidi mbaaaaaaaliiii. uyu ndo baba yetu wa taifa. walivyompokea 1963 walikua wanamwogopa. leo hakuna anaepokelewa kama ivyo.
ReplyDeleteRIP BABA.
Napenda niongozee machache tu.Nyerere alikua na vision ya baadae na nchi ikiwa na umoja na bila ya ubaguzi raia wake wanajitolea kuondeleza nchi pamoja kama alivyosema.....wenye asili and wazaliwa. Naishi marekani kwa sasa wenye asili hapa ni red indians, ambao ni kidogo sana. Kwa nchi yetu tumeanzisha migawano ya wananchi kwa manufaa ya wachache. Kuna wanasiasa wachache wanayachochea hayo, kwa manufaa binafsi wengine wakiwemo viongozi wa kidini. Wakionesha jamii kwamba kuna magabachori na walala hoi, and try to conviece ppl that the class is based on color of the skin.Wananchi inabidi waamke, wafuate siasa za Mzee Nyerere kwamba Tanzania ni ya wote watanzania. Kama hapa Marekani,Kumchagua rais mweusi tena baba yake ni mwafrika. Hata hapa ubaguzi upo lakini watu wengi especially waliokua serikalini wanafuata sheria na sio chuki zao binafsi. Ni maoni yangu binafsi.Naitakia nchi salama na amani.
ReplyDeletewe love u dad and still wished u were around, u'r deeply missed. May u'r soul rest in enternal peace until we meet again.
ReplyDeleteWe Tanzanians we will keep unity and peace as well as to honour you Mwl, b'se you worked so hard for them. You also loved us all sooo much. You were the axe of the national.
ReplyDelete