Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika stendi ya mabasi Katoro, Geita.
Nape, Mwigulu na Mbunge wa Mtera Livimgstone Lusinde wakitoka katika mkutano huo, uliofanyika Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita.
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Kata ya Katoro Anastazia Marwa akimkabidhi kadi ya chama hicho Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipotangaza kuhamia CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita. Anastazia alikuwa pia Katibu wa Barza la CHADEMA jimbo la Busanda, Geita.
KIna mama wakimshangilia aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Kata ya Katoro Anastazia Marwa baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita. Anastazia alikuwa pia Katibu wa Barza la CHADEMA jimbo la Busanda, Geita. Anastazia baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano huo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Mass, akionyesha umahiri wake, alipotumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika leo kwenye Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita.







afadhali kaondoka huyu maana hafanani na wa sure wa chadema
ReplyDeleteNaona Kafriji kanaendelea kwa kazi Mr. Nape
ReplyDeletehuja punguza kitu mama Chadema mwendo mdundo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteHATUTAKI MAKADA WA CCM NDANI YA CHADEMA AFADHAZALI ULIVYOJINGUDUA NA MAPEMA UKANGA'TUKA AMA SIVYO VIJANA WACHAPA KAZI WANGEKUSHIKISHA ADAMU MUULIZE NAPE NINI KIMEMKUTA VIJANA NI NOMA ALIZOMEWA MPAKA AKAONA HAPA NI NOMA AKATAMANI ATAFUTE SHIMO AINGIEE CHADEMA HOYEEE VIJANA MPOOOO HAPA NI KAZI TU HAKUNA KUREMBA LAZIMA VIJANA WAWAONDOE MADARAKANIIIIIIIIIIIII
ReplyDeleteKAZI LAZIMA IENDELEE NA MAPINDUZI DAIMA YAWAFIKIE WANANCHI TANZANIA NZIMA. TUONGEZEE BIDII.
ReplyDeleteMAINA OWINO
UK
WQNQRUDI TARTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIBU
ReplyDelete