Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Ramadhan Abdulla Shaaban kushoto akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari juu ya masuala ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu katika hafla iliyofanyika Wizara ya elimu Zanzibar (picha na Hamad Hija -Maelezo Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...