Mwanamke Mkazi wa Kata ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amerundika matikiti maji mbele ya Ofisi ya CHADEMA Kata ya Mlimba na kufanya Ofisi hiyo kugeuka eneo la kuuzia biashara hiyo kama ilivyokutwa, katika Tarafa ya Mlimba.Picha na John Nditi.
Home
Unlabelled
OFISI YA CHADEMA KATA YA MLIMBA INAPOGEUZWA ENEO LA BIASHARA YA MATIKITI MAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizi ofisi hufunguliwa na kufanya kazi wakati wa uchaguzi tu, na hiyo ni copy and paste kutoka CCM! pilika nyingine hapo ni 2015!
ReplyDeleteRegia Mtema wananchi wako vp?? do something mwanadada
ReplyDeleteSafi sana. Hiyo ndiyo inaonyesha kwamba CHADEMA ni chama cha watu na kinalenga kumkomboa mtanzania. Hii ni moja ya sera za chama. Huu ni mfano kuwa badala ya ofisi yake kuwa imefungwa ni afadhali ikawa inafanya shughuli za ujasiliamali.
ReplyDeleteviva CHADEMA,hawana pesa za kuwapa watu watambe na mashangingi,mikopo hupewa wakongwe wa CCM,hii ni hali halis ya mtanzania.
ReplyDeleteInamaana mpaka ikulu safari hii hivi hivi.yes
ReplyDeleteyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani this is very nice nenda ofisi ya ccm kata ya gerezani ukaone umbea na ushambenga ambao unafanyika pale na wazee na mashangingi bila kujenga new ideas na ugunduzi bora kufunga ofisi na kumpa kijana atafute riziki kuliko umbea unaoendelea
ReplyDeleteNi sawa, ofisi nyingi za vyama vya upinzani zinatokana na watu kujitolea nyumba zao na hazipati malipo yoyote, sasa mnataka mtu ajitolee nyumba/kibanda bure na shughuli zake zisimame hata kama eneo husika halina shughuli ya kichama zinazoingiliana kwa wakati huo?
ReplyDeleteHapo hapana ofisi ya CHADEMA bali pana fundi cherehani na photo studio.
ReplyDeletehapo chachaaa tusubilie mpk uchaguzi utaona ndugu mwandishi ukienda patakuwa wazi.
ReplyDeleteimpostra
Thanks anonymous wa 10:20 umechangia vizuri sana...Ni sawa, ofisi nyingi za vyama vya upinzani zinatokana na watu kujitolea nyumba zao na hazipati malipo yoyote, sasa mnataka mtu ajitolee nyumba/kibanda bure na shughuli zake zisimame hata kama eneo husika halina shughuli ya kichama zinazoingiliana kwa wakati huo?
ReplyDelete