Rais Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia wakati alipokuwa akifungua mkutano wa uwekezaji katika mikoa ya kanda ya ziwa Tanganyika ya Rukwa na Kigoma uliofanyika mjini Mpanda leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawekezaji na mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi hapa nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kufungua kongamano la uwekezaji katika ukanda wa ziwa Tanganyika huko Mpanda mkoani Rukwa lao mchana.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mkutano wa Uwekezaji alioufungua Mjini Mpanda leo.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano kuhusu Uwekezaji kwenye eneo la ziwa Tanganyika wakimsikiliza Rais Dkt. Jakaya Kikwete wakati aalipofungua mkutano huo Mjini Mpanda leo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

Katika mkutano huo kuna website ilizinduliwa. Iko wapi? Waandishi wa habari si sharti mripoti tukio kama hilo? Muwe makini jamani!
ReplyDelete