Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mweyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Hifadhi za Mbuga za Wanyama Tanzania TANAPA Bwana Modestus Lilungulu baada ya kukabidhi hundi ya thamani ya tsh.150m/- Milioni mia moja na hamsini ikiwa ni mchango wa Shirika hilo kwa ajili ya kujenga kituo cha wanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam jana katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.Katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Rais Kikwete kwaajili ya kuchangia ujenzi wa kituo hicho zaidi ya Shilingi Milioni Mia saba zilipatikana ikiwa ni michango kutoka kwa watu binafsi,mashirika binafsi na ya umma.kulia nia makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete aongoza Harambee kuchangia UDSM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Loooo! Kumbe inawezekana tukaachana na wafadhili tukafanya vitu vyetu wenyewe. kwa hili nakupongeza Kikwete, bravo!
ReplyDeleteAnko mbona hapo juu umeandika mkurugenzi wa TANAPA akikabidhi hundi ya 150M lkn hapo kwa mwisho unaconclude kuwa ni Tsh 7M zilipatikana au katika mahesabu hundi si pesa? Nauliza tu...
ReplyDeleteInatia Moyo...
ReplyDeleteNatumaini UDSM patabadilika na kuridisha heshima yake.
peace, love & blessings
Anon,
ReplyDeleteNaona umesoma sio sahihi, ameandika Milioni Mia saba. Na katika hizo niongezee, kulikuwa pia na hundi zingine na pesa taslimu (waandaaji watalifafanual hili baadae)