Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan hapa nchini Mheshimiwa Yassir Mohamed Ali huko Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa Tanzania Mheshimiwa Masaki Okada mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho.
SUDAN IPI? MWANDISHI WA HABARI/MPIGA PICHA HIZI ANATAKIWA AJUE KUNA SUDAN YA KUSINI NA YA KASKAZINI; NA SASA SI SUDAN TU, LABDA KAMA BALOZI MMOJA ANAWAKILISHA JAMHURI ZOTE MBILI. ANGALIZO TU
ReplyDelete