Home
Unlabelled
Rais Kikwete aufurahia mkungu wa ndizi mpanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona kiatu ya askari wa presdnt kisafi kuliko cha muheshimiwa, au macho yangu mabovu sili mchicha? Teh teh
ReplyDeleteViatu?
ReplyDeleteMiye nafikiria
Fish..for fish and chips
Vinyebwa..for matoke na vinyebwa
Congrats to the farmer,what an achievement
Kaka mbona hizo ndizi zimeharibika hivyo? Utafikiri zimesafirishwa na wafanyabiashara toka Bukoba au Moshi! Waende uchagani na uhayani waone jinsi mikungu ya ndizi inavyohifadhiwa. Hiyo mikungu ukipeleka soko la kiboriloni hanunui mtu.
ReplyDeleteMtanzania hapo anaona viatu tu! Tutafika lakini!
ReplyDeleteACHA KASHFA WEWE MCHAGA WA HEDI MWAMBIE PRESIDAA HAYO MALALAMIKO ILI AWEKE HALI SHWARI SIO KUSEMA SEMA TU KWENU MBONA WOTE MMEOZA MENO?HAKUNA DAWA YA MSWKI HUKO KWENU? MBONA SISI HATUSEMI
ReplyDeleteAnon 04:34:00 ndio kazi iliyobakia kuangalia je hata viatu vinawashinda kusafisha? Maana kazi imewashinda nchi ipo 50 yrs ya uhuru lakini matatizo kibao, kuna vinchi jirani vidogo kweli hata rasilimali tulizonazo hata robo hawana lakini huoni wala husikii wamekaa gizani 4 three or four days, nahisi wewe ni mmoja mnao jijaza matumbo yenu kwa jasho la watz. Kama kufika hatutafika kamwe kwa bla bla zenu. Kwanza aliekwambia kunakufika nani? Japa ni kiatu tu hamna mwisho$&@$&@
ReplyDelete