Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiukagua mkungu wa ndizi uliozalishwa katika shamba la mkulima kutoka wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma wakati wa maonyesho yaliyofanyika sambamba na kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika lililofanyika mjini Mpanda, juzi(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Naona kiatu ya askari wa presdnt kisafi kuliko cha muheshimiwa, au macho yangu mabovu sili mchicha? Teh teh

    ReplyDelete
  2. Viatu?
    Miye nafikiria
    Fish..for fish and chips
    Vinyebwa..for matoke na vinyebwa
    Congrats to the farmer,what an achievement

    ReplyDelete
  3. Kaka mbona hizo ndizi zimeharibika hivyo? Utafikiri zimesafirishwa na wafanyabiashara toka Bukoba au Moshi! Waende uchagani na uhayani waone jinsi mikungu ya ndizi inavyohifadhiwa. Hiyo mikungu ukipeleka soko la kiboriloni hanunui mtu.

    ReplyDelete
  4. Mtanzania hapo anaona viatu tu! Tutafika lakini!

    ReplyDelete
  5. ACHA KASHFA WEWE MCHAGA WA HEDI MWAMBIE PRESIDAA HAYO MALALAMIKO ILI AWEKE HALI SHWARI SIO KUSEMA SEMA TU KWENU MBONA WOTE MMEOZA MENO?HAKUNA DAWA YA MSWKI HUKO KWENU? MBONA SISI HATUSEMI

    ReplyDelete
  6. Anon 04:34:00 ndio kazi iliyobakia kuangalia je hata viatu vinawashinda kusafisha? Maana kazi imewashinda nchi ipo 50 yrs ya uhuru lakini matatizo kibao, kuna vinchi jirani vidogo kweli hata rasilimali tulizonazo hata robo hawana lakini huoni wala husikii wamekaa gizani 4 three or four days, nahisi wewe ni mmoja mnao jijaza matumbo yenu kwa jasho la watz. Kama kufika hatutafika kamwe kwa bla bla zenu. Kwanza aliekwambia kunakufika nani? Japa ni kiatu tu hamna mwisho$&@$&@

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...