a

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakikagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo ikulu jijini Dare s Salaam leo mchana.
Picha na Mdau Freddy Maro wa Ikulu
kaja kwa mganga wake kupiga ramli!
ReplyDeleteYaani mzee wakaya alienda mwenyewe kumpokea daa m7 atakuwa analeta pande la maana……. mhh
ReplyDeletestop making some stupid joks here, do u know how long this guy holding power??? and dou still rember the meaning of A Dictotor??
ReplyDeleteWake up Africans!!!!!!!!!!!!!!!!11