Baadhi ya Askari wa jadi ( sungusungu) kutoka Kijiji cha Iragua, Tarafa ya Lupiro ,Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, wakiwa kwenye mazoezi ya namna ya kupambana na wahalifu, idadi kubwa ya Askari hao ni kutoka Kabila la Wasukuma wanaoshi vijiji mbalimbali vya Kata ya Iragua, kama walivyokutwa juzi kijijini hapo.Picha zote na John Nditi
Home
Unlabelled
sungusungu wakiwa mazoezini mkoani Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tuachane na haya mambo watanzania huu ni mwaka 2011 bado tupo kwenye mambo kama haya hivi ni lini tutafaidi matunda ya maendeleo? looh mungu ibariki my matherland
ReplyDeleteAnony..14/10 11;16
ReplyDeleteVipi wewe hutaki ulinzi? ungejua wanavyotusaidia usingesema maana wezi hata kama una get bado wakikuvamia geti lako halisaidii. Kama wewe huwataki mimi mwenzio nawahitaji sana, sungusungu kazi nzuri hiyo
hawa wako katika mazoezi kweli na kijiti hicho? hata mtoto wa nyoka akipigwa nacho afi, jamani karne 21 bado tuko hapa, haki ya Mungu nchi hii au pori fulani?
ReplyDeleteconcept ya sungusungu haimaanishi kuwa na machine gun au kifaru au mabomu ya kutungulia ndege na mascudi.
ReplyDeletemwizi au majambazi wakipigiwa makelele inakuwa ngumu kwenda kuiba ila kunaumuhimu wa kutumia silaha nzito kidogo pamoja na mbwa wakali.
sungu sungu oyeee
mkweli