Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Lula baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriott katika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani October 13, 2011. Baadae Rais huyo alitunukiwa nishani ya Food Prize.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais wa World Food Prize, Balozi Kenneth Quinn wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kutoa salamu za Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano wa World Food Prize kwenye hoteli ya Marriott katika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani October 13,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...