Tanzania has rejected an asylum request by 13 young Eritrean footballers who refused to return home after a regional tournament in July.The footballers had failed to prove that their lives would be in danger in Eritrea, a government spokesman said.
A UN official said an appeal would be made to other countries to give refuge to the former Red Sea FC players.

Young Eritreans often try to escape poverty, a repressive government and national military service.Tanzania's home affairs ministry spokesman Isaac Nantanga told the BBC the players seemed to have applied for asylum because they wanted "greener pastures" - not because of a lack of security in Eritrea.

Absconded
The footballers - aged between 18 and 23 - are in the custody of the UN High Commission for Refugees (UNHCR).UNHCR Tanzania representative Oauseyi Bajulaiye told the BBC the UNHCR was still in discussions with the Tanzanian authorities about their future.

He said the UNHCR would try to find a "safe country" that would give the footballers "resettlement" status, he said.In July, the 13 Red Sea FC players failed to board a flight to Eritrea after being knocked out of the Cecafa Championship during the semi-final stages.

Instead, they went to the UNHCR offices to seek protection.
It was reportedly the fourth time that Eritrean footballers had absconded while on tour.
Eritrea is a one-party state, ruled by President Isaias Afewerki.
Human rights activists say government critics are routinely arrested and tortured.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Wakati mwingine serikali inafanya maamuzi mazuri. Kwa kawaida hao jamaa si wakaaji. Wanachotaka mara nyingi ni kutumia ukimbizi kama daraja la kuondokea kwenda nchi za wazungu. Bora hata wangekuwa na mitaji mikubwa (fedha nynigi) tungewakubali ili wawekeze kwenye nchi yetu na watu wetu wapate ajira.

    Tunawaombea kila lakheri UNHCR ifanikiwe kuwapeleka ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza acha choyo hicho. WaTZ kibao mbona wakimbizi huko kwenye nchi za wazungu!!

    ReplyDelete
  3. Mdau wa pili, sina choyo ila natetea taifa langu lisiporwe na wageni. Na vile vile natetea uchumi wa nchi yangu. Kama haja yao ni kuitumia Tz kuwa daraja ni kwa nini waipotezee serikali yetu muda na gharama za kuwashughulikia? Hawana pesa za kuwekeza Tz badala yake wanaongeza umasikini katika taifa hili. Ni bora waitumie moja kwa moja hiyo UNHCR kuwafikisha huko wanakotaka. Ni ukweli usiofichika kwamba hawa jamaa hawana nia ya kukaa nchi za kiafrika ila wanataka kuzitumia kama daraja la kuendea ughaibuni. kuwepo kwenu nje ya nchi kama wakimbizi kusiwafanye muuze nchi.

    ReplyDelete
  4. Huyo mdau wa kwanza hajui kuwa watanzania ndiyo wakimbikizi wa kisomali, kirundi, kisudan, nk, ktk nchi mbalimbali humu duniani. Kama anabisha, anitafute, jina lake la sasa atalisahau, ataitwa SHELALI, NNDIKUMANA, au HOSAMA

    ReplyDelete
  5. HAA ! ACHENI ROHO MBAYA MBONA HUKU ULAYA WABONGO KIBAO TUNAO NA WAMEJIRIPUA HUKU WAKIJIFANYA WARUNDI, WAKONGO WASOMALI? N SISI TUWACHOMEE HUKU? WANAJULIKANA KILA MMOJA MMOJA KTK KILA NCHI ZA HUKU; KWANINI WAMEFANYA HIVYO? NI KUTAFUTA MAISHA . HALI YA ERIETRIA INAJULIKANA NUSU YA NCHI WAKO HUKO ULAYA NI WAKIMBIZI WA SIASA KWA NINI HUKU WAMEKUBALIWA NA HAO WACHEZA MPIRA HAWAKUKUBALIWA POKELEWA TANZANIA?

    NI KWELI KWAO KUNA MATATIZO. HUKU KUNA WATU WENGI AMBAO WANATUMIA PASSPORT ZA KIBONGO KAMA WARUNDI;WAZAIRE;WANIGERIA; MAPAKISTAN;WAHINDI; MASENEGAL; NA NONDO WENGI UKIWAULIZA WANASEMA ZIMETOKA HAPOHAPO IMMIGRATION DAR! SASA KWA NINI HAO WASIPATE HAKI YA UKIMBIZINA NDIO KWELI NI YA UKWELI?

    MDAU MAJUU

    ReplyDelete
  6. Hali ni mbaya sana Eritrea. Hata kama hawa wanajitafutua "green pastures" Tanzania tungeendeleza jadi yetu ya kuwapokea wakimbizi.

    ReplyDelete
  7. Wote bado hamjanielewa. Kama UNHCR ina uwezo wa kuwatafutia watu nchi za kukimbilia, kwanini wasiwapeleke kule ambapo wao wenyewe wanapataka? Wao nia yao ni kuitumia Tanzania kama daraja, kwa nini wasitumie hiyo UNHCR kama daraja wakawafikisha huko wanakokutaka?

    ReplyDelete
  8. Wewe nawe sasa kama wakitumia Tanzania kama daraja wewe unapungukiwa nini? Wakimbizi wote wa ukanda wa maziwa makuu hupitia Tanzania, Kenya au Uganda kwenda majuu. Unafikiri wakimbizi hukimbia kutoka makwao straight kwenda ukimbizini? Hovyoo kweli wewe na hilo daraja ndilo limewawesha ndugu zako kibao kuclaim asylum Ulaya, Amerika na Canada, kwani bila Tanzania kuwa njia wangesema wamekwenda Tanzania kufanya nini.

    Isitoshe sheria za ukimbizi za kimataifa zinasema kuwa nchi ya kwanza utakayoingia ndio utakayoclaim asylum na wao wamefuata taratibu.

    Daraja, daraja, daraja my foot wakati wewe mwenyewe unakula pesa za nduguzo wakimbizi walio nje ya nchi!!

    ReplyDelete
  9. Wewe mdau wa Fri Oct 14, 07:33:00PM 2011 naona unachemka tu. Huu sio wakati wa fadhila ni wakati wa kujenga uchumi wa nchi. Kama wana pesa walete tuwape huo utanzania. Nilifikiri mkienda nje mnakuwa na akili kumbe ndio vichwa vinakuwa matikiti maji. Hovyooooo!

    ReplyDelete
  10. Mnajivunia kukimbilia nchi za wenzenu wakati wao walisota kujenga uchumi wa nchi zao kwa mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukata gharama zisizokuwa na msingi. Jengeni nchi zenu sio mjione wajanja kuwa wakimbizi nchi za watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...