pamoja na kwamba barabara ya morogoro ilikuwa imetandwa na ukungu mzito,lakini wenye haraka zao hawakutaka kuliona hilo na kuonyesha utaalam wao wa kwenda spidi kama kamera man wa Globu ya Jamii alivyoinasa hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ingefaa ungionyesha namba ya hiyo gari, ili wenye haraka ya kuwahishiwa mixigo yao wamtafute!

    ReplyDelete
  2. Sure umenena kabisaa,jamaa angepiga picha namba ya gari ingekuwa poa sana. Yaani hawa madereva wee acha tu.

    ReplyDelete
  3. YEA ONESHA NAMBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...