Kutoka kulia ni David Loserian, Gossaji Iddi Massoud na Louis Taguaba ambao ndio wataaalamu pekee wa kulipwa wa ukalimani hapa nchini ambao wanatoa huduma katika mikutano mbalimbali ya kimataifa wakiwa ni wataalamu wa lugha za Kiingereza, kifaransa, Kireno na Kispanish.
Hapa wako AICC jijini Arusha wanakohudumia katika mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPF. Pamoja na ukalimani pia hutafsiri lugha hizo kwa Kiswahili.
Hapa wako AICC jijini Arusha wanakohudumia katika mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPF. Pamoja na ukalimani pia hutafsiri lugha hizo kwa Kiswahili.
*UKALIMANI
ReplyDeletewandugu wa michuzi, naona mna tatizo sala la kutumia RI panapohitaji LI....nimeandika maana nimeliona sana kwenye taarifa zenu.
ReplyDeleteKama hapa mnasema mkaRImani badala ya mkaLImani.
Otherwise mko juu
Mdau
Ukarimani ndio nini jamani mbona kila siku mnaharibu kiswahili ndani ya hii blogu.
ReplyDeleteUkarimani ndio nini jamani mbona kila siku mnaharibu kiswahili ndani ya hii blogu.
ReplyDeleteukaRimani au UKALIMANI?
ReplyDeletepumbavu ati ukarimani. ukalimani
ReplyDeleteukarimani ndio nini jamani? Yaani nimesoma habari yote mpaka mwisho sijaelewa, nimerudia ndo ikabidi nijilazimishe kuwa yaweza kuwa ni UKALIMANI, yaani kutafsiri lugha. Ankal naomba huku bloguni tuwe tunatumia kiswahili fasaha tafadhali. Najua hii utaiweka kapuni, lakini ujue unawaamini sana vijana, lakini kuna siku watakuangusha.
ReplyDeletemkalimani ni traslator!!ni kiswahili hicho.
ReplyDeleteso kama ww hujui kichina then ukienda china ukapata mtu akawa anakutamfiria from chinese to kiswahili basi huyo ndo tunamwita mkalimani.
hope mmenipata kiaina japokuwa mi sio mwalimu wa kiswahili
DAvid muni-Manchester.
Wewe David Muni nawe umezidi, kutamfiria ndiyo nini? Angalia usije ukamwaga tusi hadharani.
ReplyDeleteNeno halisi ni KUTAFSIRIA linatokana na neno tafsiri.