Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,katikati Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kushoto Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.
Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazofanyika tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,kushoto Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kulia Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi wapili kutoka kushoto mara baada ya mkutano wa usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...