Watanzania wapeperusha bendera ya taifa vyema nchini Kenya katika Chuo cha Afrika Mashariki,Baraton ambapo wameibuka washindi baada ya kuifunga timu ya Uganda mabao mawili kwa moja.Michezo huu ulifanyika leo asubuhi saa tatu, ikiadhimisha kwa upande wa Kenya Mashujaa day, na kwa upande wetu ni kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa Mwl, Nyerere...
Mdau wa blog,
Wonder

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ni vizuri kupeperusha bendera njee

    ReplyDelete
  2. Nakuona KOCHA WA DUNIA katika jezi ila sijui kama ulicheza hata dakika moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...