Watanzania wapeperusha bendera ya taifa vyema nchini Kenya katika Chuo cha Afrika Mashariki,Baraton ambapo wameibuka washindi baada ya kuifunga timu ya Uganda mabao mawili kwa moja.Michezo huu ulifanyika leo asubuhi saa tatu, ikiadhimisha kwa upande wa Kenya Mashujaa day, na kwa upande wetu ni kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa Mwl, Nyerere...
Mdau wa blog,
Wonder
Mdau wa blog,
Wonder


ni vizuri kupeperusha bendera njee
ReplyDeleteNakuona KOCHA WA DUNIA katika jezi ila sijui kama ulicheza hata dakika moja
ReplyDelete