Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akifafanua jambo wakati wa mahojiano katika redio Clouds Fm iliyopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni mtangazaji wa Clouds Fm Wasiwasi Mwabulambo.


Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akifafanua jambo wakati wa mahojiano mapema leo asubuhi ndani ya kituo cha redio ya Clouds FM iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.


Mtangazaji wa Clouds Fm Wasiwasi Mwabulambo akijaribu kuwaonyesha Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh Bernard Membe na Afisa Habari wa wizara hiyo Mindi Kasiga jinsi redio inavyofanya kazi online walipokuwa wakifanya mahojiono.Habari zaidi Bofya Hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...