Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi ambapo alifanya mazungumzo nae.(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...