Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama tembo wakati aliposimama kwa muda kwenye Lodge ya Katuma Bush katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda wakati alipoitembelea kukagua athari za kiangazi kwenye Hifadhi hiyo Oktoba 20,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwa na mito kukauka kuftokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana! inapendeza viongozi wetu kuwa mstari wa mbele kutembelea sehemu za hifadhi. huu ndio utalii wandani. Tusishadadie sana safari za majuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...