Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano, Samia Suluhu Hassan akionyeshwa Shati na Mtaalamu asieona Tanzania,Bw Abdalla Nyangalo wakati alipotembelea Maonyesho ya Walemavu katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Fimbo nyeupe (wasiona). kushoto kwa Waziri ni Mkuu wa Mkoa wa Singida,Mh. Ole Naiko.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano, Samia Suluhu Hassan akipimwa Nguo kwakutumia Viganja vya Mikono na Mtalamu wa Kushona asieona Tanzania,Bw Abdalla Nyangalo wakati alipotembelea Mabanda ya Maonyesho ya Walemavu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Fimbo Nyeupe (Wasioona) yaliyofanyika Mkoa wa Sigida. kushoto kwa Waziri ni Mkuu wa Mkoa wa Singida,Mh. Ole Naiko.(Picha na Ali Meja).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...