Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo ya Utafiti wa Kuangalia ainayaumri wa Mawe ya Mafuta kwa Geologia wa Mafuta Bi Venosa Ngowi alipotembelea Maabara ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania huko Benjamin Mkapa Towers Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa Mkurugnzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Tetroli Tanzania[TPDC] Bw Yona Kilagane kuhusu Maktaba ya Kuhifadhia Nyaraka za Utafiti na Uvumbuzi wa Mafuta kwenye Ofisi zao Jengo la Benjamini Mkapa Towers Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja].
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...