Mkurugenzi mtendaji wa Airtel  Sam Elangalloor(kushoto), akiongea na Balozi wa Marekani nchini Alfonco Lein Hadt wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kusaidi watoto na watu wanaoishi katika mazingira magumu na wenye mahitaji. Airtel na Taasisi ya House of peace  ndio wadhamini wakuu wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Katikati ni Irene Madeje Mlola Mkurugeni wa Biashara wa Airtel Tanzania.

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel  Sam Elangalloor (katikati), wakifurahia jambo na Balozi wa Marekani nchini Alfonco Lein Hadt (kushoto) wakati wa hafla ya  kuchangisha pesa kwa ajili ya kusaidia watoto na watu wanaoishi katika mazingira magumu na wenye mahitaji. Airtel na Taasisi ya House of peace  ndio wadhamini wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Mwingine ni Irene Madeje Mlola Mkurugeni wa Biashara wa Airtel Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...