William John
Joseph Kaniki (Golota)
Wachezaji wawili wa kitanzania, Joseph Kaniki (Golota) na illiam John wamefanikiwa kujiunga na timu ya ligi daraja la pili KonyaSpor (KIF) nchini Sweden, baada ya kufanikiwa kupita katika majaribio( Trials). Majaribio hayo yalijumuisha wachezaji zaidi ya thelathini ambapo wachezaji watano walichaguliwa kujiunga na klabu hiyo ya ligi daraja la pili KonyaSpor (KIF)
Habari hii imeletwa kwenu na:http://www.africa4life.com/
safi sana , muache njaa zenu sasa.
ReplyDeletetulieni mcheze mpira!
mdau paris