Meneja wa nchi,huduma binafsi za kibenki wa BancABC,Bw. Andrew Lyimo (kushoto) akifafanua mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) umuhimu wa wateja kushiriki katika kampeni yao mpya ya WEKAWEKA NA UPATE wakazi wa uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo inawapa nafasi wateja wake ya kujinufaisha kwa kuweka akiba,iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar.
Mkuu wa Retail Banking & SME wa BancABC,Ruth Makombe (wapili kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya "WEKAWEKA UPATE" uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam ambapo amesema kampeni hiyo itawafaidisha wateja wa benki hiyo na kuwa ina lengo la kuhamasisha utamaduni wa watu kujiwekea akiba. Wengine pichani kutoka kulia ni Naibu Meneja Mkuu wa Benki hiyo,Misheck Ugaro,Meneja Mkuu wa benki hiyo Boni Nyoni na kushoto ni Meneja wa nchi,huduma binafsi za kibenki wa BancABC,Andrew Lyimo.
MABENKI WAKATI SASA UMEFIKA NA SISI MTUPE NAFASI YA DREDIT CARDS::::YAANI KADI ZA MIKOPO.
ReplyDeleteMFANO LEO, TIGO WAMETUMA SMS MESEJI KTK SIMU KUWA TUWAOMBE NDUGU ZETU NJE WAGTUTUMIE SALIO KTK SIMU ZETU HUKU BONGO KWA KUNUNUA SALIO KWA CREDIT CARDS ZAO HUKO MAJUU!!!.
Hii ni fedheha , kwa kuwa kwa sasa hali ya uchumi ni ngumu dunia nzima bora tujijazie sisi wenyewe hapa bongo kwa kadi zetu kuliko kuwapa mzigo ndugu zetu Ughaibuni ambao wengi ni siri yao wengine wamechoka na wana ishi maisha magumu!