Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (wa tatu kushoto) akizungumza na baadhi ya wafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu ch Dar es Salaam (UDBS) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni. Wa nne kushoto ni Mshauri wa Kiufundi wa Islamic Banking wa NBC, Yassir Salim.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (kushoto) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (hayupo pichani) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni.
hongera nbc kwa kazi nzuri
ReplyDeletewhat is islamic banking oh dear hre we go again. hope there is no christian banking coming from the other end
ReplyDeleteSasa kipi kinachokuuma kuhusu Islamic Bank?Hujalazimishwa wewe kujiunga na ni vizuri kuuliza inawasaidiaje waisilamu kwa mujibu wa dini yao ikiwa kama unayo hamu ya kujua.Kama hujisikii kujua lolote then shhhhhhhhhhhhhhhhh....p
ReplyDeletekwa mdau unayeuliza kuhusu Islamic Banking, acha uvivu na tumia google na baada ya searches kidogo utapata idea. islamic banking is not only for muslims, it is the safest way to save money and you are not charged interest on your loans and you will not get interest on your savings. The catch for people is that your money is not invested in things which are not prohibited in Islam, that is gambling, alcohol etc. i.e Halal investment. Do not start pointing fingures before asking properly or do some few research and you will have better perspective in life.Most of western banks are introducing Islamic account because more and more people are attracted to the products offered, so you going to see more news and adverts about it.
ReplyDeletePeace!!
ISLAMIC BANKING has been proved even by IMF and WORLD BANK to be the fastest solution towards economic stabilization and poverty alleviation.
ReplyDeleteDO not rely on religiuos sentiments when hearing about Islamic Banking.
Eurozone countries like Greece,Italy, Portugal, have got Government Debts grown big due to rate of interest charged on TREASURY BILLS something interest rate does not exist in Islamic Banking.
It is now prominent in UK, Germany,North America and ITALY WHERE ROME AND VATICAN IS!.
Hello commentor no. 2 from top,
ReplyDeleteDEFINITELY: Christian Banking does not exist but Islamic Banking is dating as old as the Universe!
On top of that it is a fastest spreading medium of finance in the World and it is continuing getting keeping being accepted all over the world!