Hi guys,finally the music video is out.


This project took Willie Owusu & Nonini 6months formulating and implementing the best concept for the video. A master piece produced by Musyoka of Decimal records,one of the best hip hop/genge tracks he has ever produced. The godfather album has been epic for Nonini and his fans (Wagenge). It has made History for Nonini in Kenya having 8 Music Videos in a single album.

Enough of the talk Enjoy the Video and leave me a comment on www.noninimusic.com or on the Youtube video link above.


Thanks for your Support Always.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nice song, great message!

    Hivi na nyie wasanii wa bongo, hamuwezi kuungana kuimba pamoja wimbo wa kukosoa albino killings? Maybe Under the Same Sun can sponsor you? Si hao wanaouwawa ni ma fan wenu pia ama?

    ReplyDelete
  2. Ni jambo la kusikitisha kuona watu wanaishi bila ya amani ktk maisha yao kwa kuwa wao wapo tofauti kimaumbile au rangi zao.Na inajulikana wazi ya kwamba hawa wenye kuua "albino"ni washirikina.Swali linakuja kwanini usalama wa taifa hauchukui jukumu hili kwa kina?Kwakuwa swala hili linaingiliana na ushirikina,kwanini bado serikali haiwafungii waganga wote na kuwakamata wale wenyekujishughulisha kinyume na sheria?Kama hawajachukua hatua za kuwabana hawa waganga,haya mauaji yataendelea siku zote.Ni aibu kubwa kwa Taifa.

    ReplyDelete
  3. VIDEO PRODUCERS WA BONGO MMEJIFUNZA NINI KWENYE HII VIDEO?

    ReplyDelete
  4. Muziki mzuri na ujumbe mzuri.

    Endelea kufundisha wajinga kwamba albino ni binaadamu kama sisi wengine

    ReplyDelete
  5. i love this song,ujumbe mzuri sana,inasikitisha kuona ndugu zetu albino wanauwawa sababu ya ngozi yao!!

    ReplyDelete
  6. Weusi Wagumu Asilia (W.W.A) ndo waanzilishi wa beats hizi za hipp hop. Great song, great message. Siyo message za bongo flava Mara kaongelea albino, Mara kaongelea maisha magumu ktk wimbo huo huo.
    Hapa Noni.. Amekupa ujumbe mmoja na clear. Great video too. Wabongo jifunzeni hapo. Siyo kukurupuka tu.

    Rico Star.

    ReplyDelete
  7. Washirikina wana wakilishwa na nanihii bungeni kwa hiyo hamuwezi kuwagusa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...