Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na wanahisa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa.
Baadhi ya Wanahisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam.
Wapiga picha za Habari wakiwajibika wakati wa mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo chini naona Selemani Mpochi alikuwa akitafuta picha ya mwaka!

    ReplyDelete
  2. Jameni nyie ndugu zetu wa crdb hivi mnatembeleaga hivyo vioski nyenu vya ATM kuona kama vinatoa huduma itakiwayo????? Huwa nafadhaika sana niendapo kwenye vioski kimoja hadi kingine na kukuta huduma zimesitishwa na kukuta ule ujumbe eti subiri huduma itarejeshwa punde! Pande nyingine hamuishi kutuhimiza tutumie huduma zenu! Acheni maigizo na mtupe huduma tunayotarajia toka kwenu tafadhali!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...