Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira,Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Chama cha Habari za Mazingira (JET) kuhusu Maandalizi ya Mkutano wa 17 wa Nchi zilizoridhia Mkataba wa Umoja wa mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi Unaotarajia Kufanyika Durban Afrika ya Kusini.picha na Ali Meja.
Home
Unlabelled
Dk. Terezya Huvisa azungumza na Waandishi wa Chama cha Habari za Mazingira leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...