Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA), Dk. Serafina Mkuwa akipokea hundi ya sh. milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa Akiba kwa wafanyakazi wa Serikali (GEPF), Anslelim Peter kwa ajili ya kusaidia upimaji wa saratani ya matiti katika mkoa wa Kilimanjaro. Katikati ni Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukumazina Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA), Dk. Serafina Mkuwa (katikati) akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa kukabidhiwa hundi ya sh. milioni 1 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa Akiba kwa wafanyakazi wa Serikali (GEPF), Anslelim Peter (kulia) kwa ajili ya kusaidia upimaji wa saratani ya matiti katika mkoa wa Kilimanjaro.Kushoto ni Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukumazina .Picha na Francis Dande.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...