ITAKUWA PALE MLIMANI CITY CENTURY CINEMAX KILA SAA MOJA JIONI KUANZIA TAREHE 25/11/2011..MSIKOSE KUTAZAMA FILAMU YENYE UBORA WA KIMATAIFA ILIYOTENGENEZWA HAPA NYUMBANI TANZANIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. this gonna be fantastic..nadhani miaka 50 ya mapinduzi ya tasnia hii manake imeanza kudumaa as haikui kila siku mambo hayo hayo chumbani mara seating room alafu watu wale wale..is it wabongo tu ndo wametengeneza ama kuna mkono wa weupe?

    ReplyDelete
  2. Looking forward to watch this movie.

    ReplyDelete
  3. Safi sana, nasikia ni wabongo tupu

    ReplyDelete
  4. am dying for waiting, jamani kama ni wabongo ndio wametengeneza hii movie kwa kweli wanahitaji support from us Tanzanian...me lazima nije kwenye ufunguzi hata kama nitakuwa kazini nitatoroka that day.

    ReplyDelete
  5. Yap ni wabongo tu, kuna watu wanavipaji ila wanakosa wa kuwawezesha. waiting for the day to watch CPU

    ReplyDelete
  6. hawa jamaa ni wabongo kweli...wanahitaji sana support yetu, kweli tunaweza...big up sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...