Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na Duchess of Cornwall katika dhifa  ya kitaifa waliyoandaa kwa heshima ya mtoto huyo wa Malkia wa Uingereza na mkewe usiku huu Ikulu jijini Dar es salaam
 Katibu Mkuu Kiongozi Mh Philemon Luhanjo (kushoto) akiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Dkt Mwinyihaji Makame na Balozi wa Tanzania nchuni Uingereza Mh Peter Kallaghe katika dhifa hiyo
 Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange akiongea na Brigedia Potts na Ms Dinah Potts kwenye hafla hiyo
 Katibu Mkuu Kiongoz Mh Philemon Luhanjo (kushoto) akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Paul Rupia
 Katibu Mkuu Kiongozi Mh Philemon Luhanjo akiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na Sir Andy Chande
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimia baadhi ya maofisa walioongozana na Prince Charles
 Ngoma za utamaduni zilirindima katika hafla hiyo
 Prince Charles akisalimiana na binti wa Rais Kikwete wakati wa hafla hiyo
 Glasi zikigongwanishwa meza kuu
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake pamoja na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe. Picha na Ikulu
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh JK ana Binti Bomba!

    ReplyDelete
  2. We fataki hapo juu ishia hapo hapo.

    ReplyDelete
  3. FATAKI...acha tamaa yako!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...