Home
Unlabelled
FOLENI YA KUNUNUA LUKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vipi nasoma south africa vile vile Luku kasheshe mtandao mmoja nini?
ReplyDeleteile fibreoptical imekatika waya ndio maana lakini watu wanunue kwa m-pesa,tigopesa,wala haina tabu
ReplyDeleteHuko bongo mbona maajabu hayaishi kila siku?? Bora mrudie ule mtindo wenu wazamani tu mita za analog pengine.............
ReplyDeleteLUKU ni nini fafanua
ReplyDeletewananunua luku umeme wenyewe upo?
ReplyDeletehii tanzania miaka 50 ya uhuru folen ya umeme nao hakuna maji hakuna na mvua zote zinazonyesha hongo inanuka kila kona nchi mpaka misiba taifa linakwenda linakwenda pabaya mungu saidia watu wako
ReplyDelete