![]() |
Ghana's President,Hon. John Atta Mills |
Ghana's President John Atta Mills has rejected the UK's threat to cut aid if he refuses to legalise homosexuality.
Mr Atta Mills said the UK could not impose its values on Ghana and he would never legalise homosexuality.
UK Prime Minister David Cameron said at the weekend that aid would be cut to countries which failed to respect gay rights.
Uganda also rejected the threat, with an official accusing the UK of showing a "bullying mentality".
Most Africans argue that homosexuality violates their religious and cultural beliefs.
Mr Atta Mills said Mr Cameron was entitled to his views, but he did not have the right to "direct to other sovereign nations as to what they should do".
He said Ghana's "societal norms" were different from those in the UK.
"I, as president, will never initiate or support any attempt to legalise homosexuality in Ghana," Mr Atta Mills said.
'No compromise'
On Monday, Ugandan presidential adviser John Nagenda said Mr Cameron was showing a "bullying mentality" and Ugandans would not tolerate being treated like "children".
If that aid is going to be tied to things that will destroy the moral fibre of society, do you really want that?”
Koku Anyidoho Ghana's presidential spokesman
"If they must take their money, so be it," Mr Nagenda said.
Mr Cameron said he had raised the issue of gay rights at last week's Commonwealth Heads of Government Meeting in Perth, Australia.
Ending the bans on homosexuality was one of the recommendations of an internal report into the future relevance of the Commonwealth.
Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country, correspondents say.
Ghana received bilateral aid from the UK of about £90m ($144m) during the last financial year, of which about £36m was as general budget support.
Mr Atta Mills' communications chief Koku Anyidoho told the BBC the government would not compromise its morals for money.
"If that aid is going to be tied to things that will destroy the moral fibre of society, do you really want that?" he told the BBC's Focus on Africa programme.
Mr Cameron said he had spoken with "a number of African countries" and that more pressure had been applied by UK Foreign Secretary William Hague, who deputised for him during parts of the Commonwealth summit.
Some 41 nations within the 54-member Commonwealth have laws banning homosexual acts.
Many of these laws are a legacy of British colonial rule, correspondents say.
Kwa ufupi UK wanatapatapa na economy huko kwao. Hii ni moja katika njia ya mzunguko za kusema kuwa hawawezi kusaidia nchi za Afrika kwa sababu hawana kitu tena. Labda wanaona aibu kusema direct kuwa wamekuwa maskini hawawezi kusaidia kila mtu.
ReplyDeleteThis homosexuality issue will help us sieve the real African leaders from the fake ones. Proud of Ghana and UG, that's the way forward.Sema, waTz tunavyo penda aid, ahaha
ReplyDeletekiufupi Ghana wanakosea sana, kwa nini wasikae kimya kama tanzania yetu. Hata kama hawatokubali ukibwatuka ovyo unatolewa mfano. Wangekaa kimya tu. Nashauri raisi wetu asi coment lolote kuhusu hilo.
ReplyDeleteTo the man who only has a hammer, everything he encounters begins to look like a nail.
ReplyDeleteBe smart African leaders
Wote naona mko sahihi. Waghana kutangaza ni fundisho kwa wakoloni kwamba hatuwezi kuburuzwa na misaada tukapitisha mambo ya kipumbavu kama hili kwenye katiba zetu. Wamewaonesha kwamba wako tayari kuwa masikini lakini wasishinikizwe kuhalalisha upumbavu.
ReplyDeleteNikirudi kwa Anony wa tatu, hata wewe uko sahihi kwa upande mwingine. Hawa jamaa wanajifanya ni wababe hivyo ukiwaonesha jeuri wanaanza kukushughulikia. Kwa hiyo kwa wale waoga kama sisi watz ni lazima tutafute mbinu ya kuwakatalia hawa jamaa bila kuathiri uhusiano wetu nao. Angalieni Malawi wanavyosakamwa na Uingereza kwa kuonesha hadharani kwamba hawakubaliani na ushoga.
Jambo la msingi ni kuhakikisha hayo matakwa yao hayaandikwi kwenye katiba. Na wakizidi kutushinikiza itabidi tu na sisi tutangaze kuonesha msimamo wetu. Potelea mbali kama ni misaada acha tukose.
eti wakae kimya, nini maana ya ukimya?
ReplyDeleteAnony wa kwanza umenena kweli. Waingereza wanashindwa tu kutuambia misaada basi. Wanajua fika kwamba ushoga haukubaliki Afrika kwa hiyo Wanataka watafute sababu ya kutunyimia hivyo vijisent vyao.
ReplyDeleteAcheni kuukalia uchumi!!
ReplyDeleteNi wakati sasa watanzania na waafrika kwa ujumla watambue kwamba tunaweza kujitegemea iwapo rasilimali tulizonazo zitatumika ipasavyo.Misaada tuliyopewa mfano kama hapa Tanzania kwa muda wa miaka 50 inatosha tuachwe tuanze kujitegemea hata mtoto anaachishwa ziwa la mama yake. Wazungu wenyewe wanavimsemo vyao "Usimpe mtu samaki bali mfundishe kuvua samaki" Miaka 50 ya uhuru bado tu tunapewa samaki lini tutajua kuvua samaki ili tusiendelea kutegema kupewa.
ReplyDeleteHizo conditions za commonwealth zinanipa kichefuchefu "Hivi ni sahihi kweli tupoteze tamaduni na imani zetu kwa msaada" Big up uganda na ghana kwa kukataa waziwazi. Jamani eeeehh Watanzania hizo heshima zetu za woga kujifanya wakimya kutatuponza.
Halafu inakuwaje Taifa huru lifanyiwe maamuzi ya ndani na Taifa jingine hata kama ni maskini. Hivi ni nani kati yetu hapa ambaye anafamilia (Mwanaume) afanyiwe maamuzi ya ndani kwake na jirani yake kisa tu huyo jirani ni tajiri, katika maisha ya kawaida tu siwezi kukubali hata kidogo kupangiwa na jirani yangu nile nini sembuse niwe na tabia zipi?
MIMI NAPINGA USHOGA NA NIKOTAYARI KUTANGAZA KWA SAUTI YA JUU.
SHINDWA IBILISI USIWAINGILIE VIJANA WA KIAFRIKA BAKI HUKO HUKO ULAYA NA MAGHARIBI WANAKOKUKUMBATIA
NAFIKIRI NI WAKATI MZURI WA AFRICA KUJIKOMBOA.
ReplyDeleteSouth Africa wao tayari kimeshaeleweka. Simba ni mkali na anzaa itakuwa ninyi banadamu. Wakati wenu haujafika, mtashikwashikwa hadi mtaachia tu hayo makalio kwa umaskini wenu.
ReplyDeleteBig up ghana na uganda!
ReplyDeleteHAWA WA UK WANA NINI JAMANI!! ?????MBONA DUNIA INAELEKEA PABAYA...MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteAliyejitoa mhanga kupingana na hawa wazungu ameaga dunia africa nzima imeshuhudia kifo chake bila msaada wowote wakumsaidia!sasa hawahawa waliomuua wameanza matukio yao,,na bado ufaransa hawajaanza,ujerumani,na wengine pia,,vikwazo vitakua vingi sana kwa afrika labda nchi itakayojichagulia kusema kwakila jambo watakalolisema hawa watu.Mimi kwamsimamo wangu kama mtu w'afrika na ninaeipenda africa yetu naona haya mambo ya England ni kudharau nchi zinazopata msaada,kwasababu kupewa msaada haimanishi kwamba wewe ni mfu,Mfano wakuangalia ni hii nchi ya Ugiriki inapewa msaada!lakini inajisimamia kwasababu sio nchi ya africa, wafuu!Nadhani kwa serikali yetu hili jambo la ushoga likikubalika nakuingia bongo!!baaasi TZ ya Mwalimu itamalizika
ReplyDeleteKweli na mimi nawapa kudos Uganda na Ghana. Hawa watu wameshaharibikiwa; wanataka na sisi watoto wetu washikishwe ukuta. God forbid. Acha wakate misaada, na sisi tutawatimua kwenye madini yetu; wanatusaidia au wanalipa wanavyotuibia???
ReplyDeleteKwa kifupi David cameroon wa UK wamekua kama akina Lema wa chadema ambao hawakosi visingizio
ReplyDeleteTuliambiwa 'Ukitaka Kula Lazima Uliwe'' sasa hawa Waingereza wameuelewa huu msemo wa Kiswahili!
ReplyDeleteHa! Ha! ilikuwa ni utani tu para ya hapo juu.
Afrika inabidi ielewe kuwa 'Ubeberu', 'Ukolono mamboleo" bado upo na hivyo Afrika na Tanzania lazima kusimama imara kuupinga huu ubeberu wa mataifa matajiri kutaka kuingilia hata maisha yetu ya Kitanzania.
jamani waafrika nini hii waangalieni wachina walisema hapana urafiki na kuwa omba omba leo china anaabudiwa na hao wakubwa ,nendeni muone india iko wapi tuende brazil hao wanapaa wanaitwa brics .sasa akina sie tukiwemo tanzania fungeni milango na madirisha angalieni mali tulizonazo tufanye kazi ya kijikwamua wengine wameweza kwanini sie tunaowauza hizo rsilmali tusiweze .tuache kujipendekeza huko kwa waingerezana wengine tujitegemee.kwa upande wa suala la ushoga serikali iwaachie wanachi tutawajibu wanautusukuma kwa sauti ya vishindo mila zetu na desturi hazielewi hilo la ndoa za mashoga tooba na waendelee kufanya tu bali haiwezi kuwa nisheria ya nchi .huu ni ukoloni mamboleo wa karne ya 21
ReplyDeleteDiscrimination!! And I mean any form of discrimination is wrong. What I have learnt from people's views on this board in the last few days is that most here are haters and are using religion to hate on others. The world has moved on and these are changing and even the church is embracing some of these changes as we have seen with the ordination of gay bishops in the Anglican church.
ReplyDeleteThere are so many African living in a gay polluted society and there are tough penalties in the law for those who would dare discriminate anyone for his or her own sexuality. Some of you writing filths here are cowards and wouldn't dare go to the media and open your gobs against gays and lesbians.
If you didnt already know, some of your children are so exposed to the gay culture that they themselves would see no fuss dating someone of the same sex. You keep insulting others, cursing and condemning them for being gay, but what would you do if is your own precious child?
I see no difference between Hitler and the Anti gay mob in here, you all belong together.
Long time ago someone said and I quote
In the end anti-gay, anti-jews, anti-black, anti-female, and all forms of discrimination are equivalent to the same thing - anti-humanism.
KWA KWELI SIELEWI HUYO ANAESEMA TUKAE KIMYA...NO WAY. NI SAWASAWA ETI UMEOLEWA THEN MUME WAKO ANAKWAMBIA ANAOA MKE WA PILI MWANAUME, ETI UKAE KIMYA... WE HAVE TO SPEAK OUT, ITS ABOUT TIME KUWA WATUMWA WA FIKRA SASA.. YOTE YATUSHINDE HATA ILI NALO.. NO WAYS
ReplyDelete@Wote hapo juu, dont bring your nonsense here. Homosexuals and lesbians are human beings. The same bible you are talking about was used to justify that black people are less human and therefore deserved to be enslaved and beaten and humiliated and killed! The same Baptists told the slaves not to complain because it was God's will that they obey their masters as written in the Bible.
ReplyDeleteI tell you that if you are fortunate to be alive 100yrs from now, the same Bible will be silent about homosexuals! If a homosexual or a gay man does not interfere with you and your liberty, why are you bothered about his/her personal life. Homosexuality is here to stay with us. Fags wont change, it is we (us) to change our attitude.
SASA JAMANI MNALALAMIKA NINI NA SISI WABONGO TUMEPANGIWA MAISHA NA HAO WAINGEREZA? LAZIMA TUKUBALI LA SIVYO TUTALALA NJAA KWANI WAO NDIO PROVIDERS WA KILA KITU MPAKA SHERIA BADO TUNATUMIA ZA KIINGEREZA. ETI MPAKA MAOFISINI NI LUGHA YAO SASA MNAKATAA NINI? TWENDE TU HIVYO HIVYO. WAKITUKATIA MAUZO YETU KWENYE SOKO LA DUNIA TUTAFANYAJE? GHANA WAO WANAKIBURI KWA SABABU WANA UCHUMI MZURI NA OIL WANAYO YA KUMWAGA, HUYO CAMEROON ASIPOTAKA FANYA BIASHARA NAO, ANA WACHINA TAYARI KUNUNUA OIL KWA BEI ILE ILE SASA GHANA HATISHIKI NA KITU. SISI KUTWA KUCHA TUNAWAFUATA HUKO HUKO ETI WAJE WEKEZA NA WAKULIMA WENU WANAFUKUZWA OVYO KWENYE MASHAMBA YAO ETI WAWAPISHE WAZUNGU, NA SERiKALI INA KUBALI! SASA NINI MTAWAPINGA?
ReplyDeleteRADA MMENUNUA KWAO YA ULINZI . WAO NDIO WAMETUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA NA WATANZANIA WENGI BADO TUNAWAFUAT HUKO HUKO , SASA KWA NINI WASITUPANGIE MAISHA ? SISI NI SLAVE TU HATA KARNE ZINGINE MIA.
LAKINI SISI WA AFRIKA KAMA TUNATAKA DEMOCRASI NDIO HIYO! LAZIMA TUKUBALI, AU UDIKTETA URUDI WA TANZANIA HAKUNA KUVAA SKETI FUPI KWA WANAWAKE WETU? TURUDI KWA NYERERE NA KAWAWA NA IDIALOGY ZAO?
DUNIA IMEBADILIKA LAZIMA TUKUBALI . UNGUJA KUNA MASHOGA WENGI AMBAO WANAFANYA BIASHARA YA UKAHABA TENA KWA VIONGOZI WETU HUKO MABUNGENI , KWA NINI ISIWEKWE WAZI? WATCH OUT GAYS WANA HITAJI HAKI KAMA RAIA MWINGINE YEYOTE ( HUMAN RIGHT KWANZA) GADDAFI AMETOLEWA KAMA MNYAMA KWA SABABU ZIBGINE ZINAZOFANANA NA HIZO KAMA HAMJUI. ASILIMIA KUBWA YA WASOMI AU NDIO WANALETA MAENDELEO YA DUNIA NI GAYS, HATA BILLY GATE ANASHIRIKIANA`NAO JAPOKUWA YEYE SIO SHOGA, (hatujui)!
NINACHOTAKA SEMA NI KWAMBA KILA BINADAMU AISHIE KATIKA PLANET HII ANAHITAJI HAKI NA MAAMUZI YAKE MWENYEWE BILA KUANGALIWA UA KUHUKUMIWA NA MWINGINE . KAMA UMEAMUA KULA KITI MOTO WEWE TIA NDANI KAMA HUJISIKII KUKILA ACHILIA MBALI ISIWE ISSUE, KAMA UKIMIND THEN INAKUWA ISSUE NA VICTIMS HAWAWEZI KUKAA KIMYA NA SAUTI ZAO MJUE ZITAPOKELEWA TU NA JAMII HUSIKA: GAYS WAPO MPAKA UARABUNI NA NDIO KUNA MASHEIKH WAKUBWA LAKINI HAWANYANYASWI , HIO NI MUNGU NDIO KAUMBAHUWEZI MBADILISHA BINADAMU KAMA KAAMUA
MDAU GERMANY
we have to read the signs of time.
ReplyDeletethere is no marriage btn two people of the same sex.
end of discussion.
shaking hands with the devil is curse on our country, on us, on our children, and on our grand children and our great great grandchildren.
Hivi tunatarajia nini? Haya ni matokeo ya kupewa misaada ambayo aiishi hata baada ya miaka 50 ya Uhuru bado tunategemea UK itusaidie kubalance budget yetu. well, don't bite the hand that feeds you.
ReplyDeleteEverything has it's starting point. The initiative of Ghana's President to say "NO"is something which all African countries Should follow.We Africans have our culture,and UK and other Western countries have their own.NO ONE HAS RIGHT TO IMPOSE NEW CULTURE ONLY AND ONLY BECAUSE HE HAS MONEY!!!WE DO NOT NEED THEIR MONEY and this is a correct step for all African leaders to follow.Of course I know there is pressure from Western countries towards our leaders BUT IN THIS SPECIFIC ISSUE WE DO NOT HAVE ANY REASON TO FEAR.
ReplyDeleteipo siku watasema ukikataa ushoga tanaleta NATO kama LIBYA
ReplyDeleteKWA NINI U.K WANAKATAA SHERIA LAWS KWA SABABU SIO MILA NA DESTURI YAO KWANZA U.K NI NCHINI YA KISTUR AMBAYO CHURCH OF THE ENGLAND AMBAYO ZAMANI ILIKUWA R.C NA PIA SISI TUNA MILA ZETU AMBAZO USHOGA NI DHAMBI..MISAADA YA MASHARTI NDIO UTUMWA WA KISASA PAMOJA NA IMF WANAKUKUPESHA PESA LAKINI MASHSRTI ZAO LAZIMA MADINI AU RESOURNCE ZA TZ WAPEWE WAO.. WELL HAKUNA MSAADA USIWO NA MASHARTI.. KWA NINI RAIS WETU AMEKUWA KIMYA, TUNAOMBA HATUWE JIBU MAANA KUKA KIMYA NINA MAANA AMEKUBALI KUWA MASHARTI YA CAMEROON... MUNGU IBARIKI TZ NA WATU WAKE..AMENI
ReplyDeleteAnonymous Mdau Ugermany Thu Nov 03, 05:10:00 PM 2011 na Thu Nov 03, 04:52:00 PM 2011:
ReplyDeleteKusema ukweli nyie mnaelewa mambo. Unajua bongo jamaa wenye elimu wameacha kuelemisha watu wengi ambao hawajabahatika kueleimika, bali wanatumia elimu zao kuwatishia wengi. Jamaa wengi wanaongea kwa ubabe humu (internet)kuhusu mataifa ya magharibi, ni sawa na kapaka kumtishia simba nyau!!!. Na kwa ufupi, kuweka mambo peupe, ulimwengu mzima unaendeshwa na mashoga toka karne za biblia kuandikwa mpaka leo. Mpaka hawa jamaa wameamua kuongea hivyo, jamaa lazima tujue kuna mashoga Afrika. Vile vile mie kama binadamu siwezi kumnyima mtu haki yake kwa vile ana tabia tofouti, basi tukianza hivyo tutaanza kubaguana kidini, kikabila n.k Nasema tutabana mpaka mtaachia tu, habari ndiyo hiyo.